Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
duh ..... ndiyo michezo gani hiyo jamaa yangu
nimeipenda idea, napenda sana wipeout Uk, na ile sijui ya japan huwa tunacheka sana na mtoto wangu, ila nafikiri inaweza kutaka kamtaji hivi ya kununua yale mavitu sijui kutengeza mabwabwawa hivi au we unataka kufanya ki-animation hahaha? Good lucky nitasupport
Tunakuombea ufanikiwe katika hilo wazo lako! Ila fanya haraka kabla hatujakuibia hiyo idea.
wazo zuri sana ila ni ushauri tu unapokua na vitu kama hivi wewe unatakiwa ukaushe ingia mzigoni..fanya mabo baadae watu tutakuja kuona tu maana unaweza ukaibiwa wazo na kitu chenyewe hujakiprotect legally( ipr) halafu baadae ooh..kaniibia etc..ni ushauri tu..mianimepata wazo hilo kwa sababu karibia tanzania itaingia kwenye digital,hivo nikianzisha vipind hivo nitauza kwa channel za tanzania,na nchi nyingine za afrika mashariki baadae nitauza ata kwa channel za nje.
nitakuwa natoa zawadi za pesa nzuri tu kwa washindi,mnasemaje kwa ilo wazo langu
Sikupingi mkuu Ila wazo lako kwa kwetu afrika espcly Tanzania Hutoweza Wipe Out imezoeleka saana kwenye nchi zenye Baridi na sio Tropical countrys, chukulia Wipe Out ya Australia Theluji inawasaidia kiasi kikubwa kuhusu FF Fear Factory inahitaji namna ya kuwapata wahusika walio Mashuhuri na Sio Maarufu yani watu mashuhuri kabisa Afrika kama si Duniani ili watu waweze kumuona mtu kama Drogba, JB Mpiana au yoyote akichezea Nyoka akila mchwa,Nzii nk. mwisho Nakupa ushauri kama Una Bajeti ya Kutosha unaweza Kuanziasha TANZANIA A MINUTES TO WINNING Kwanza huana Gharama kubwa kama Wipe Out na F F ambazo zinahitaji miundo mbinu ya gharama A Minutes to Win hakika vituo vya Televishen Vitakugombea kama mpira wa Kona angalia A Minutes to Winning India au USA/UK
wazo zuri sana ila ni ushauri tu unapokua na vitu kama hivi wewe unatakiwa ukaushe ingia mzigoni..fanya mabo baadae watu tutakuja kuona tu maana unaweza ukaibiwa wazo na kitu chenyewe hujakiprotect legally( ipr) halafu baadae ooh..kaniibia etc..ni ushauri tu..mia
kivip?Ili wazo sasa nalichukua mwenyewe dadeki tutakutana mzigoni [emoji342] [emoji385] [emoji385] [emoji383]