Nina wazo la kuanzisha Reality TV show

Nina wazo la kuanzisha Reality TV show

DLS

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2015
Posts
246
Reaction score
152
Habri za asubuhi wakuu, heshma kwenu
Siku zote nilikua ninatamani kufanya kitu tofauti na kazi ninayoifanya, lengo la kwanza sio kupata kipato ila ni ile satisfaction ninayoipata nikiona nimeweza kufanya kitu from zero to something.
nimekua na wazo la kuanzisha TV show ambayo ni tofauti kwa hapa kwetu Tz na naamini watu wataifurahia sana, mimi ni Afisa tu wa kawaida ktk taaisisi ya serikali sina uzoefu wa haya mambo (kwa upande wa Media), kuhusu show yenyewe na jinsi ya kui-organize hilo ninaweza ila sijajua kwa upande wa Media hili suala sijui linakuwaje, kuanzia mambo ya umiliki wa show yenyewe, registration, mauzo, na mahitaji mengine ili ku-run hio show.
Naomba kwa wenye ujuzi na uzoefu juu ya haya mambo tupeane mawazo na ushauri.
Naomba kuwasilisha.
 
Hongera Mkuu. Lakini hapo reality unakusudia nini?
 
  • Thanks
Reactions: DLS
Hongera mkuu,
Njoo tuunganishe nguvu,
Mimi ni presenter na Nina access ya kupata airtime katika kituo kimoja wapo hapa tz

Njoo na idea yako tufanye Kazi

Check me 0714547830 (WhatsApp only)
 
Hongera mkuu,
Njoo tuunganishe nguvu,
Mimi ni presenter na Nina access ya kupata airtime katika kituo kimoja wapo hapa tz

Njoo na idea yako tufanye Kazi

Check me 0714547830 (WhatsApp only)
mkuu naomba nikuone pm nami nina suala kama hilo tufanye biashara.
 
Hiyob
Hongera mkuu,
Njoo tuunganishe nguvu,
Mimi ni presenter na Nina access ya kupata airtime katika kituo kimoja wapo hapa tz

Njoo na idea yako tufanye Kazi

Check me 0714547830 (WhatsApp only)
jihadhari tu maana hiyo namba watakutafuta hats wazuga
 
Hongera mkuu,
Njoo tuunganishe nguvu,
Mimi ni presenter na Nina access ya kupata airtime katika kituo kimoja wapo hapa tz

Njoo na idea yako tufanye Kazi

Check me 0714547830 (WhatsApp only)
Mlifanikiwa ?
 
Back
Top Bottom