DLS
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 246
- 152
Habri za asubuhi wakuu, heshma kwenu
Siku zote nilikua ninatamani kufanya kitu tofauti na kazi ninayoifanya, lengo la kwanza sio kupata kipato ila ni ile satisfaction ninayoipata nikiona nimeweza kufanya kitu from zero to something.
nimekua na wazo la kuanzisha TV show ambayo ni tofauti kwa hapa kwetu Tz na naamini watu wataifurahia sana, mimi ni Afisa tu wa kawaida ktk taaisisi ya serikali sina uzoefu wa haya mambo (kwa upande wa Media), kuhusu show yenyewe na jinsi ya kui-organize hilo ninaweza ila sijajua kwa upande wa Media hili suala sijui linakuwaje, kuanzia mambo ya umiliki wa show yenyewe, registration, mauzo, na mahitaji mengine ili ku-run hio show.
Naomba kwa wenye ujuzi na uzoefu juu ya haya mambo tupeane mawazo na ushauri.
Naomba kuwasilisha.