Gemini Are Forever
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 1,508
- 2,619
Asante sana ndugu. Viwanda/kiwanda kinapatkana wapi kwa Dar au TZ kwa ujumla? Naomba mwongozo.Damian j Ntundagi said:Vitu ulivyotaja vinatumika kutengeneza gundi, viatu na vyakula vya mifugo kwa ushauri jaribu kutembelea viwanda vya vitu hivyo wewe mwenyewe
Hi, hustlers! Poleni na majukumu.
Rejea title hapo juu. Nina wazo la kuanza biashara ya malighafi zitokanazo na mifugo kama vile ngozi, pembe, kwato, meno, mifupa, mbolea n.k. ambapo mimi nitakuwa supplier.
Naomba mwenye ufahamu wake kwa namna yoyote ile na wa masoko kwa Dar na Tanzania kiujumla.
Asanteni!
CHASHA FARMING
GLOBAL CITIZEN
CONTROLA
Malila
Soko la mbolea ya mifugo eg mbolea ya kuku mie nnalo la uhakika.Hi, hustlers! Poleni na majukumu.
Rejea title hapo juu. Nina wazo la kuanza biashara ya malighafi zitokanazo na mifugo kama vile ngozi, pembe, kwato, meno, mifupa, mbolea n.k. ambapo mimi nitakuwa supplier.
Naomba mwenye ufahamu wake kwa namna yoyote ile na wa masoko kwa Dar na Tanzania kiujumla.
Asanteni!
CHASHA FARMING
GLOBAL CITIZEN
CONTROLA
Malila
Mkuu mim nimelenga ktk soko la mifugo kama ng'ombe, mbuzi na kondoo.Okwonkwo II said:Soko la mbolea ya mifugo, e.g mbolea ya kuku mimi nnalo la uhakika