killer whale
Member
- Nov 9, 2017
- 60
- 19
Quire ngapi..tuchekiane nahitaji kukuungisha..unapatikana wapi.Habar zenu wadau,... Hapa nnapofanya kibarua kuna store za bidhaa mbali mbali lkn nyingi miongon mwazo ni madaftar(counter book).. Nimejarib kumuuliza jamaa ambae anadeal na counter book za five star, amesoma box moja ni Tsh65000-68000/=.Na mawazo ya kununua hizi counter book kwa bei ya jumla kisha nizitangaze ktm social media na target yang ni kuwauzia watu wa stationery, ofisi shule ama yyte atakaehitaji, naomba mawazo yenu juu ya swala hili.
Naish ilala ila bdo cjachukua mzigo ni km nlikuwa naangalia hii ishu km itatembeaQuire ngapi..tuchekiane nahitaji kukuungisha..unapatikana wapi.
[emoji3]Fursana
Nataka nchukue 2 na 3Q ngapi???
0678361222Powa nipe mawasiliano yao bas nichek nae kama ntaweza nunua kwao..
Shukrani boss0678361222
Daaah, sio ustaarabu kuanika namba ya mtu hapa bila ridhaa yake mkuu. Ungem-pm nadhani ingekuwa fresh zaid.0678361222
OkDaaah, sio ustaarabu kuanika namba ya mtu hapa bila ridhaa yake mkuu. Ungem-pm nadhani ingekuwa fresh zaid.