Nina wazo la kutengeneza biashara/Ajira

Nina wazo la kutengeneza biashara/Ajira

Bornventure

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2017
Posts
529
Reaction score
523
Nina eneo kubwa zuri tu lipo barabarani. katika kiwanj a kuna maji pia umeme Ktk utafiti wangu nimeona ktk eneo lote linalohusisha kata kama 3 hivi au zaidi hakuna NURSERY SCHOOL kabisaa . na uhitaji wa huduma hii ni mkubwa saana ila sina capital kuanzisha hiyo shule Naomba kama kuna watu mwenye interest na hii biashara tuwasiliane Mimi nitatoa hili eneo . karibuni
 
Nipo mbeya mjini. Ila huko kyela Nina eneo kubwa zuri tu lipo barabarani , barabara inayoelekea Matema beach ambayo kwa sasa ipo katika hatua za mwisho za kuwekwa lami . katika kiwanj a kuna maji pia umeme ni umbali wa kama km 12 kufika ziwa Nyasa matema beach pia ni umbali wa kama km 35 kutoka kyela mjini. Ktk utafiti wangu nimeona ktk eneo lote linalohusisha kata kama 3 hivi au zaidi hakuna NURSERY SCHOOL kabisaa . na uhitaji wa huduma hii ni mkubwa saana . Mimi professionally ni mwalimu ila sina capital kuanzisha hiyo shule Naomba kama kuna watu mwenye interest na hii biashara tuwasiliane Mimi nitatoa hili eneo . karibuni
Hilo eneo liko sehemu gani mkuu ni Ngyeke au Makwale?
 
Mchanganuo wa hiyo nursery unaweza kuuweka hapa tuujue?
 
Wazo zuri sana mkuuu. Kuna watu wengi wana hela ila hawana mawazo ya kibiashara. Na unavyosema unatoa uwanja bado unazidi kumchanganya tu, jambo muhimu la kufanya ni uandae Business plan au kama huna uelewa nayo tafuta mtu akiandalie Business plan then present your Business plan na mtu akiisoma anajuwa kabisa hapa kuna return ila hivi hivi itakuchukuwa muda kupata mtu. Kwa urahisi zaidi weka wazo lako hili kwene LINKEDIN.
Ushauri tu mkuu:::
 
Nipo mbeya mjini. Ila huko kyela Nina eneo kubwa zuri tu lipo barabarani , barabara inayoelekea Matema beach ambayo kwa sasa ipo katika hatua za mwisho za kuwekwa lami . katika kiwanj a kuna maji pia umeme ni umbali wa kama km 12 kufika ziwa Nyasa matema beach pia ni umbali wa kama km 35 kutoka kyela mjini. Ktk utafiti wangu nimeona ktk eneo lote linalohusisha kata kama 3 hivi au zaidi hakuna NURSERY SCHOOL kabisaa . na uhitaji wa huduma hii ni mkubwa saana . Mimi professionally ni mwalimu ila sina capital kuanzisha hiyo shule Naomba kama kuna watu mwenye interest na hii biashara tuwasiliane Mimi nitatoa hili eneo . karibuni

Mbali na nursery je Ni biashara gani nyingine? Mimi Nina mji makwale kama kusingekuwa na nursery ungenisupport usimamizi Nina uwezo wa kijenga ila niko mbali.
 
Mbali na nursery je Ni biashara gani nyingine? Mimi Nina mji makwale kama kusingekuwa na nursery ungenisupport usimamizi Nina uwezo wa kijenga ila niko mbali.
Mfanyabiashara nguli na mzuri hajali umbali bali as long as anajuwa kuna return au fursa anaweza akasafiri popote duniani. Kama upo tayari kumsaidia mwenzako na kunufaika nawe pia just do it. WES IZAD once said " if you want to succed in business , be daring , be first be different"[emoji122] [emoji122]
 
nina mawazo mawili. Moja la kupendekeza hamu " desire" Na lingine la kupendekeza " upuuzi". Upuuzi ni kitendo cha ku act Bila kufukiri
 
Mfanyabiashara nguli na mzuri hajali umbali bali as long as anajuwa kuna return au fursa anaweza akasafiri popote duniani. Kama upo tayari kumsaidia mwenzako na kunufaika nawe pia just do it. WES IZAD once said " if you want to succed in business , be daring , be first be different"[emoji122] [emoji122]
Hi mimi hiyo sehemu nahitaji kufanya anything sababu imekaa bure tu na nimiaka sijafika nipo nje ya nchi , so sina idea what is going on there so why nilivyoona Makwale nikafurahi sana. i can still do business with the person and i will try to contact the person in due course .Asante kwa muda wako.
 
Back
Top Bottom