Bornventure
JF-Expert Member
- Jan 29, 2017
- 529
- 523
Hilo eneo liko sehemu gani mkuu ni Ngyeke au Makwale?Nipo mbeya mjini. Ila huko kyela Nina eneo kubwa zuri tu lipo barabarani , barabara inayoelekea Matema beach ambayo kwa sasa ipo katika hatua za mwisho za kuwekwa lami . katika kiwanj a kuna maji pia umeme ni umbali wa kama km 12 kufika ziwa Nyasa matema beach pia ni umbali wa kama km 35 kutoka kyela mjini. Ktk utafiti wangu nimeona ktk eneo lote linalohusisha kata kama 3 hivi au zaidi hakuna NURSERY SCHOOL kabisaa . na uhitaji wa huduma hii ni mkubwa saana . Mimi professionally ni mwalimu ila sina capital kuanzisha hiyo shule Naomba kama kuna watu mwenye interest na hii biashara tuwasiliane Mimi nitatoa hili eneo . karibuni
Ooh nayapata hayo maeneo ,ni kweli hamna Nursery schools , watoto wanalazimika kusoma darasa la kwanza miaka miwili,mmoja ndyo Kama chekechea, hivo wazo lako ni zuri mkuuNgeleka mkuu, ni mwenyeji huko?
Na ukifanikisha kuanzisha hyo shule ya awali niwe Muhasibu wako mkuu [emoji1] [emoji1]Ngeleka mkuu, ni mwenyeji huko?
Mwenyeji Ngyeke ni mbele kidogo ya hapo.Jaribu kufanya research vzuri Makware ipo Nursery na si mbali sana na hapo.Ngeleka mkuu, ni mwenyeji huko?
Nipo mbeya mjini. Ila huko kyela Nina eneo kubwa zuri tu lipo barabarani , barabara inayoelekea Matema beach ambayo kwa sasa ipo katika hatua za mwisho za kuwekwa lami . katika kiwanj a kuna maji pia umeme ni umbali wa kama km 12 kufika ziwa Nyasa matema beach pia ni umbali wa kama km 35 kutoka kyela mjini. Ktk utafiti wangu nimeona ktk eneo lote linalohusisha kata kama 3 hivi au zaidi hakuna NURSERY SCHOOL kabisaa . na uhitaji wa huduma hii ni mkubwa saana . Mimi professionally ni mwalimu ila sina capital kuanzisha hiyo shule Naomba kama kuna watu mwenye interest na hii biashara tuwasiliane Mimi nitatoa hili eneo . karibuni
Mfanyabiashara nguli na mzuri hajali umbali bali as long as anajuwa kuna return au fursa anaweza akasafiri popote duniani. Kama upo tayari kumsaidia mwenzako na kunufaika nawe pia just do it. WES IZAD once said " if you want to succed in business , be daring , be first be different"[emoji122] [emoji122]Mbali na nursery je Ni biashara gani nyingine? Mimi Nina mji makwale kama kusingekuwa na nursery ungenisupport usimamizi Nina uwezo wa kijenga ila niko mbali.
Hi mimi hiyo sehemu nahitaji kufanya anything sababu imekaa bure tu na nimiaka sijafika nipo nje ya nchi , so sina idea what is going on there so why nilivyoona Makwale nikafurahi sana. i can still do business with the person and i will try to contact the person in due course .Asante kwa muda wako.Mfanyabiashara nguli na mzuri hajali umbali bali as long as anajuwa kuna return au fursa anaweza akasafiri popote duniani. Kama upo tayari kumsaidia mwenzako na kunufaika nawe pia just do it. WES IZAD once said " if you want to succed in business , be daring , be first be different"[emoji122] [emoji122]