Alicejacqueline
Member
- Jun 20, 2019
- 10
- 10
Safi sana mkuu..njoo pm tufanye kaziHabari wakuu..
Naomba msaada was mawazo yenu katika kufanikisha wazo langu..
Nina wazo la kutoa huduma ya masoko kwa kampuni ndogo na kubwa( ingawa si wazo geni)
Mimi ninachowaza ni kufanya kazi za kuwatafutia masoko ya bidhaa zao makampuni mfano naweza kwenda kampuni ya milango na madirisha alafu tunakubaliana niwatafutie wateja nikiwapata tunalipana kwa commission..
Nina uwezo mkubwa katika fani hii kujieleza na kumshawishi mteja
Jee? Hili limekaaje wakuu
Wateja wapo, kikubwa kupewa nafasi ya kuwaona wahusikaWazo zuri,ila changamoto ipo kwenye kupata wateja....hakuna kampuni inayokataa mauzo
Poa mkuu,tafuta zabuni za ujenzi kampuni zipo na utalipwa kamisheni nzuri tukipata wa kuwahudumia.Wateja wapo, kikubwa kupewa nafasi ya kuwaona wahusika
Asante kwa ushauri..tupo pamojaPoa mkuu,tafuta zabuni za ujenzi kampuni zipo na utalipwa kamisheni nzuri tukipata wa kuwahudumia.
SafiHabari wakuu..