Nina wivu nashindwa hata kumeza mate!

mwamini huyo jamaa/dada .sasa nyingine wivu upelekea kuchokwa mapema kama anayependwa akiwa mtu safi asiyecheat na mwenye hasira za karibu.na uzoefu mkubwa ktk situation kama ya kwako
 
Fanyia kazi usemi huu": WIVU UKIZIDI HULETA HASARA"
 
Wivu ni kitu kibaya, nakiri HATA MIMI NINAO, kuna wakati najiona mjinga au mtoto. Naweza nisiseme kitu ila roho inaumaaaaa. Hakuna mapenzi yasiyo na wivu labda kama humpendi mtu, ila kuwa na kiasi ndio tatizo, na kiasi gani?
 

Huyo jamaa ulimpataje? Maana inavyoelekea hujiamini kabisa kama una deserve kuwa nae! Kutokujiamini mara nyingi hupelekea wivu wa kupindukia kama huu wako.

Lakini kuna kitu kizuri nakiona kwako: Umegundua kuwa una wivu ambao unahisi sio wa kawaida (ni kweli sio wa kawaida!), hii inakupa nafasi ya kujirekebisha kama ukuamua kufanya hivyo.

Kuna mtaalamu mmoja wa mahusiano yeye anashauri hatua zifuatazo kumaliza wivu ulionao:


Angalizo: Sio kila unachokifikiria kinakuwa si cha kweli mara nyingi akili ya binaadamu inafanya kazi kuliko tunavyodhani!). Kwa mfano katika maelezo yako unasema umewahi kumwona akiwa na ex wake. Pamoja na kuwa pengine hakuna cha zaidi kinachoendelea baina yao lakini kama hili linajitokeza mara kwa mara ni vema ukafanya uchunguzi ili upate ukweli kuliko kususia 'kiti chako' bila basis yoyote. Hivyo jaribu ku-control reaction zako na papo hapo fanya 'uchunguzi' kama ni lazima ili kubaini uhalisia.
 

See the colored part. I also thought the same. Labda ulimpata kibahati huyo mtu, i mean siyo level yako as Nyamayao would put it thats why unakuwa na kihoro cha aina hiyo. Maana hainiingii akilini mtu kukataa kukalia kiti cha mbele just because ex gf alikikalia, lol! sasa mbona mtarimbo unautumia hata kuumumunya wakati ex aliutumia kwa kila style. sorry galfriend but grow up if you need to start a family with this man.
 

dah, nilikuwa sijalifikiria hili! Carmel umeamkia wapi leo?
 
ahsante!...........
 

Dada yangu hebu get over yourself from that crap wivu uliokithiri yani unawezaje kuwa na miwivu hivyo??? mwishowake utampoteza huyo unayesema unampenda sana ukweli ndo huo. na nina stori kama hiyohiyo ila huyu alikuwa ni mkaka, mpenzi wa rafiki yangu jamaa ana wivu kupita kiasi.....kilichotokea jamaa akaachwa solemba live yani hakuna mjadala.

Nikushauri tu: hakuna mtu yoyote in this world anayekubali kuwa na mtu mwenye wivu hivyo haumpi freedom anayodeserve kila saa uko nyuma ya mgongo wake unamchunga.ndo yaleyale akitoka kidogo akiacha simu nyuma unachungulia msg au call register yake.ikiwa na password inkuwa ni recipe ya ugomvi.hivi mapenzi ya siku hizi yakoje????soo possessive damn it!!!!

Jitahidi kuacha na Muombe Mungu akuondolee hicho kitanzi cha wivu.


 
hahaha unachekesha ,mbona simuoni binamu Fidel ,ZD na Xpin today?

Angalau umekuwa wa kwanza kuniulizia kwa leo mama! Kakague Senksi yako kule! Nilikuwa naomboleza msiba wa MC mara nakutana na hii ya wavu wa kipraimari skuli wa shule za kata! LOL
 

eeh!mzee kumbe ukiamua huwa unnaandika maposti marefu hivi?πŸ˜€πŸ˜€
 
Angalau umekuwa wa kwanza kuniulizia kwa leo mama! Kakague Senksi yako kule! Nilikuwa naomboleza msiba wa MC mara nakutana na hii ya wavu wa kipraimari skuli wa shule za kata! LOL
hehehehe!..........
twende twende twende kazi mazee
 
wanaogopa wakiingia tu nitawakumbushia MICHANGO YA HARUSI!

case hiyo hiyo imemkumba nguli!nguli nadhani amebadili na aidii kabisaπŸ˜€

Naamini sipo katika hiyo listi, adhawaizi hii ATM card nayotembea nayo ili tukikutana tu niwakilishe fungu ntaanza kuisahau! BTW mshiki ana huu wivu wa ki fom tuu B ya shule za kata? I bet not!
 
Naamini sipo katika hiyo listi, adhawaizi hii ATM card nayotembea nayo ili tukikutana tu niwakilishe fungu ntaanza kuisahau! BTW mshiki ana huu wivu wa ki fom tuu B ya shule za kata? I bet not!
hahaha!
yuko bize na mambo yake huo muda hana
 
Wivu ukizidi utakua chanjo cha ugomvi. Sote tuna wivu lakini inabidi umwamini, ujiamini ili muweze kuwa na uhusiano. Ukimchunga sana, hata kazi hutaweza kufanya.
 
heheheh mpwa! hebu nsicheke miye! mbona mazito leo hapa!
Binamu mzima lakini? it seems xmas break wifi alikupeleka tanga maana naona unazijua taarabu kweli siku hizi.πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…