Gaddaf i06
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 1,770
- 2,841
Wakuu ni jinsi gani naweza kufanya ili kupunguza wivu?
Bora umemalizia hivyo, kuna vibabu wana wivu wa kiboya kwahiyo nafikiri huwa wanazeeka na wivu wao.Una umri gani? Ila wivu wa kiboya haujali umri
hah aya asante.Nadhani bado hujawahi kupigwa matukio, kuna stage ukifika kila kitu unajionea kawaida tu, hata mtu acheat mbele yako unaona fresh tu.. Wewe bado endelea kupenda tena wawili watatu hadi ukae sawa usiogope...
kiakili unajua kbsa ni uboyo lakini ni tatizo la kihisia, tena hisia zina nguvu sanaHata mi nipo hivyo sijui natokaje huko dah sipendi kuwa na wivu nachukia hii hali
unamanisha nini?Badili kichwa.
kazi kweli kweliAchana na mahusiano ya kimapenzi.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Nikiri kwamba nina wivu kupita maelezo!
Hii hali mimi mwenyewe siipendi na hata hivyo nashindwa kuicontrol.
Sipendi kujiingiza kwenye mahusiano na wanawake kwa sababu hii hii!
Wakuu ni jinsi gani naweza kufanya ili kupunguza wivu?
Nakubaliana na wewe, kuna watu ni wazee miaka 60+ lakini wana wivu utadhani ndio wanaanza utiineja.Bora umemalizia hivyo, kuna vibabu wana wivu w akiboya kwahiyo nafikiri huwa wanazeeka na wivu wao.
Hivyo ni vitoto vya Shule ambavyo hua vinapenda kurukia kila upumbavu unaoibuka,Mmehamia na huku, Ig na tiktok mnaona haiwatoshi kuulizia nchi yenu
Kwakweli nimeonaHivyo ni vitoto vya Shule ambavyo hua vinapenda kurukia kila upumbavu unaoibuka,
visikuumize kichwa.