rakeyescarl
JF-Expert Member
- Dec 9, 2007
- 481
- 147
Wakuu nawasalimia na naomba msaada.
Umri miaka 50.Nina watoto 5 na mke,naishi DSM.Niliachishwa kazi mwaka 1 uliopita na nikawa nabangaiza mpaka siku kama 14 zilizopita nilipopata kazi upya ya kipato cha wastani,ndio likanitokea tatizo hili.
Naogopa kutoka ndani ya nyumba najisikia -feelings kama kuna kitu kinanifanya nisitake kutoka ndani ya nyumba.
Ndg zangu wamenishauri nipime ukimwi,cancer na malaria(FBP) vyote vimekuwa negative.Najisikia kwa mbali kama tumbo linauma nimeangaliwa ulcers sina.
Wengi wamenishauri kuwa hii ni stress,je nifanyeje kupaa tiba hata kama si stress,hata kama ni hospitali ya kulipia naweza kulipiwa,natanguliza shukurani.
Naomba mwenye msaada anisaidie niache kuteseka kwa kuni PM au rakeyescarl@yahoo.ie.