Nina zawadi nono kwa taifa Stars ikiishinda Lesotho

Nikifikiria toka 1980 mpaka Leo ni miaka 38 sio mchezo..kizazi cha Samatta kinakwenda AFCON....mvua ,radi,jua,kimbunga ni lazima twende AFCON Cameroon
 
Sasa hizo dollari 500 au tuseme euros 500 maana unajitanabaisha kuwa upo sweeden utampatia nani maana ukitaka zigawanywe kiusawa kila mtu atapewa mia tano za kitanzania. Huoni unachemka tu! Afadhali mtumie mungu wenu TL huko ubeleji
Na wewe mungu wako ni yupi,huyu Jiwe?
 
[wwàQUOTE="Shark, post: 29224992, member: 21139"]$500.00 ni kama Tshs 1,100,000/- tu hela ya madafu, hela ambayo 4hata #Samagoal77 anaweza kuwapa mara 10 yake. Jipinde Mzee baba utoe japo $5,000.00[/QUOTE]
1.1-33 --11z-
11-Wewe unatoa nini kwa taifa lako. Watz bwanaq1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…