Nina zawadi zao hawa wafuatao

Ngoja nilale kwa uzuni hamna jinsi.
Haina noma.
Haya ni maisha tu.
Sawa tu.
Haina shida.
Haya bwana.
Kesho kwangu kesho kwako.
Dunia tunapita tu.
Ipo siku nami nitapata.
Poa tu.

Haujanionea huruma bado?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…