Nina zawadi zao hawa wafuatao

Bishanga huyu yuko lupango.

My apologies for any offense caused by my quoting you.

However, ni kweli Bishanga yupo jela au unatania tu?

Alikuwa swahiba wangu mzuri sana na ghafla akapotea tu bila taarifa na imekuwa ni miaka kadhaa sasa. Sikujua ni nini kilichompata....

Kweli amefungwa jela/ gerezani?
 
Reactions: BAK
Thanks but there was no need to apologize. Let bygones be bygones we’re all humans and we’re not perfect.

Huyu jamaa ni kweli yuko ndani. Na kesi yake bado inasua sua kwa kipindi kirefu kwa madai kwamba “uchunguzi bado unaendelea”

Sina uhakika tuhuma anazotuhumiwa nazo kama zina ukweli wowote au la ila magazeti yalianza kumuandika vibaya kuhusu utendaji wake na maamuzi yake hatimaye wakamdaka.

Kama hana lawyer mzuri wa kudai haki ya huyu sitashangaa akiendelea kuwa lupango kwa miaka mitatu au hata zaidi.

 
Aiseeeh;!
So sad
 
Reactions: BAK
I wish ningemjua in person, ningekwenda,mpa pole
 
Bahati mbaya siwezi kuweka jina lake la ukweli hapa. Namuonea huruma hata kama tuhuma ni za kweli kwani kwa kipindi kirefu alikuwa hajafikishwa mahakamani hadi hivi karibuni na wakili wa Serikali kudai uchunguzi bado unaendelea.

I wish ningemjua in person, ningekwenda,mpa pole
 
Dunia hii sijui ikoje na walimwengu wake...
inabadilika kwa kila rangi...usiombe ikugeuke...kwa wengine itakuwa neema ila kwengine .... ndio hivyo ...ngoma.. ...utaicheza..kila mdundo upigwao!
 
Bahati mbaya siwezi kuweka jina lake la ukweli hapa. Namuonea huruma hata kama tuhuma ni za kweli kwani kwa kipindi kirefu alikuwa hajafikishwa mahakamani hadi hivi karibuni na wakili wa Serikali kudai uchunguzi bado unaendelea.
Sure, wengi watakuwa wanamfahamu kimtaa ila ku match na id ndo ngumu. Privacy be maintained
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…