Ninaanda script ya movie ya Korosho

Ninaanda script ya movie ya Korosho

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
8,082
Reaction score
17,838
Mzuqa

Wale mliokuwa mnafuatiliaga thread zangu kwenye id yangu iliyopigwa life ban mtakumbuka nililetaga script ya movie ya The Curse of Makinikia na The return of Doctor Shika.

Kwenye hizo Script mbili Jiwe na Doctor Shika walikuwa wanatembenza mkono wa hatariiiii. Kulikuwa na part doctor Shika alikuwa anapiga samasolti kadhaa mezani huku akigawa dozi za maana kwa adui zake moscow.

Sasa hii ya korosho japo naendelea kuiandika na kuiandaa sijapata jina kamili mtanisaidia na nyinyi wena jamvi jina gani ya script ya hii movie. Kuna haya majina yameniijia The Korosho Encounter, The curse of the nuts, The Korosho defender.

Kwenye hii script nayo mkono unatembea laana na vitu vyenye ncha kali na butu
 
Dogo beba box achana na siasa za bongò
 
Mzuqa Mkuu,jina la movie naomba liwe Zombie and the Cashew nuts au Yohana and the Cashew nut!
 
The Koroshow Connection!
 
Back
Top Bottom