Ninaapply kazi kwenye Ajira Portal lakini napata ujumbe wa :Job Application Failed"

Ninaapply kazi kwenye Ajira Portal lakini napata ujumbe wa :Job Application Failed"

Sambare

Member
Joined
Jul 1, 2017
Posts
82
Reaction score
52
Habari Waungwana . Nina qualifications za hii kazi lakini nikiomba inaniandikia hivo. Shida inaweza kuwa nini
IMG_4254.jpeg
 
Vigezo vilivyowekwa ninavyo mkuu ndo maana nikaomba . Kigezo no hiko na nina hio qualification
Hakukuwa na kigezo cha uzoefu kazini?
Umetimiza hiyo miaka?
Hakuna kigezo cha kuhitaji wahitimu wa chuo wa kuanzia mwaka fulani?
 
Hakukuwa na kigezo cha uzoefu kazini?
Umetimiza hiyo miaka?
Hakuna kigezo cha kuhitaji wahitimu wa chuo wa kuanzia mwaka fulani?
Hapana Kiongozi . Hivo ndo vigezo vilivyowekwa na ninavyo
 

Attachments

  • IMG_4255.jpeg
    IMG_4255.jpeg
    53.3 KB · Views: 8
Kazi ina hitaji nini na wewe una nini? Weka hapa vigezo vya kazi na sifa zako! Huo mfumo ni nadra sana kusema uongo! Kama kazi inahitaji mtu wa diploma uwezi kuomba kama una degree! Kinyume na hapo kuna sehemu vitu havijakaa au vimefutika hasa kwenye academic qualifications….pitia,chunguza,peruzi,pekua na soma tena tangazo
Habari Waungwana . Nina qualifications za hii kazi lakini nikiomba inaniandikia hivo. Shida inaweza kuwa nini
 
Holder of Bachelor Degree in one of the following fields: Computer Science,
Information Systems, Information Technology, Computer Engineering or
Telecommunication Engineering from recognized institutions and demonstrated
experience in the web applications and development and ILMS in Water Supply
and Infrastructure
Hapa nadhani wanalenga intern zaidi maana ILMS ni Intergrated Leakage Management System
 
Network Administrator
Web Applications developer
Hizi ndio zinagoma sababu ya hyo experience ya ILMS...
Unajiuliza maswali unaishia kucheka tu...
 
Back
Top Bottom