Rejea academia Yako kweny account yako uihakiki upyaHabari Waungwana . Nina qualifications za hii kazi lakini nikiomba inaniandikia hivo. Shida inaweza kuwa nini
Hakukuwa na kigezo cha uzoefu kazini?Vigezo vilivyowekwa ninavyo mkuu ndo maana nikaomba . Kigezo no hiko na nina hio qualification
Tuma screen shot inayoonesha hizi sehemu kwenye academic qualification, upate msaadaVigezo vilivyowekwa ninavyo mkuu ndo maana nikaomba . Kigezo no hiko na nina hio qualification
Tuma screen shot inayoonesha hizi sehemu kwenye academic qualification, upate msaada View attachment 3071705
Habari Waungwana . Nina qualifications za hii kazi lakini nikiomba inaniandikia hivo. Shida inaweza kuwa nini
Weka vigezo hadi mwisho tuone tatizo lipo wapiHapana Kiongozi . Hivo ndo vigezo vilivyowekwa na ninavyo
Hivyo hvyo nadhani ile phrase ya mwisho kwenye quallification pengine ndio inasababisha...Na wee ni hivo mkuu?