Ninabiashara ya duka la chakula ninahitaji mkopo kutoka Bank

sonzawileme

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2017
Posts
502
Reaction score
284
Ninabiashara ya duka la chakula nilihitaji MKOPO KUTOKA BANK ni ipi Branch nawezafanikiwa mkopo ikizingatia Vigezo hivi nilivyo navyo-:

-TIN NUMBER
-LESENI YA BIASHARA
-HATI YA KIWANJA
-NYUMBA
-BIASHARA YENYEWE

Nb; Location nipo Dar if any nisaidie mawasiliano WhatsApp 0769946412
 
kama upo serious njoo DM nikupe mtu wa kukuongoza ili upate
 
kama upo serious njoo DM nikupe mtu wa kukuongoza ili upate
 
Ndugu hii ishu ya mkopo nenda bank branch yoyote upate maelezo kamili. Achana na janja janja ya kuonana na mtu akusaidie, pia usiende kwenye microfinance au imarisha au bayport wote hao ni matapeli. Utalizwa muda sio mrefu. Kuwa makini sana
 
Kama biashara yko isha anza na una wateja wakutosha na uhakika wa kurudisha hiyo fesdha upo . Achana na mkopo wa benki. Kuna watu sikuhizi wamesajiliwa wanatoa mikopo ila utarudsha na riba kwa makubaliano. Nadhan ukiwauliz au ukidadis wafany biashar wenzako wataua wanawafaham mkakubaliane
 
Ndugu hii ishu ya mkopo nenda bank branch yoyote upate maelezo kamili. Achana na janja janja ya kuonana na mtu akusaidie, pia usiende kwenye microfinance au imarisha au bayport wote hao ni matapeli. Utalizwa muda sio mrefu. Kuwa makini sana
Kwanini useme microfinance au bayport ni matapeli kumbuka anayepewa mkopo ni ana akili timamu ndio maana kuna mikataba hujazwa kabla ya mkopo kuhidhinishwa
 
Yaani na vigezo vyote hivyo kwanini usiende tu benki, hivyo vi-MICROFINANCE vitakutia uwendawazimu na hiyo nyumba soon itaangukia mnada... Wanakutamanisha na HELA yaani utapewa Mkopo juu kwa juu hujamaliza wa kwanza tayari watakwambia wakupe na mwingine na riba zao za mwezi kwa mwezi mwishowe unashindwa kulipa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…