Elections 2010 Ninachagua bora maisha wewe Je?

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2008
Posts
7,904
Reaction score
1,064
Wakuu ebu fikiri na useme tunajifunza nini katika picha hii? Je unapokuta picha hii kwenye mazingira haya unafikiriaje? uko tayari kutoa kura yako?

Wakuu ebu fikiri na useme tunajifunza nini katika picha hii? Je unapokuta picha hii kwenye mazingira haya unafikiriaje? uko tayari kutoa kura yako?

mmmh inasikitisha sana ......hima watanzania wa leo inabidi tutupe karata zetu vizuri ili tulete mabadiliko ya ukweli.
 
duh... sasa tuongelee kombe la dunia la chini ya miaka 17 soka la wanawake banah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…