Nuraty J
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 1,729
- 3,831
Habarini,
Kuna kitu kimenishangaza kwa wanyama wa mwituni. Mfano, nilikuwa naangalia channel ya wanyama muda huu, kuna Chui jike ana watoto watatu anakanao kwenye pango. Akitaka kutoka kuhamia kwingine vinamfuata nyuma.
Kilichoniacha hoi ni pale mama yao anapoinuka kutaka kwenda kuwinda hawamfuati bali hubakia na wakati mwingine huingia ndani ya pango kabisa kujificha. anapoondoka safari nyingine tofauti na kuwinda huwa watoto wanamfuata nyuma. Kwa upande wa Simba jike na wanaye pia huwa hivyohivyo.
Ninachojiuliza. Je, wanyama kuna lugha wanaongea na watoto wao na wakawaelewa au inakuaje?
Napenda kuangalia sana wanyama na maisha yao