Ninachokikumbuka katika maisha ya ujanani...............ila sasa hivi sijui!!!!!!!!


Kipochi manyoya.... Hakyamungu.
 
sio sifa kwakweli ila past za sisi wengine mmmnh......................yaani mi wakishikana mikono hivi wanaweza hata kufika chalinze toka ubungo!

Siku niliamua niwapeleke picknick mwanza...nkapeleka maombi ya kuwasafirisha TRL mpaka leo sjajibiwa maana hawana mabehewa ya kuwatosha nlokuwa nao
 
mwanamke niliyemtoa bikra ndiye mke wangu hadi sasa, nashukuru Mungu sijamwuumiza moyo, kwasababu ukimtoa mtu ile kitu afu ukampiga kibuti nasikia huwa inawauma sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…