Ninachokiona katika hili kongamano ni kama watanzania hatuna furaha ,kuna shida mahala

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akishiriki Kilele cha Kongamano la Nne la Uhuru wa Kidini la Afrika lililofanyika katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha tarehe 21 Septemba 2024.
.

Naona matabasamu kwa viongozi tu
 
Kwani ulitaka waweje ili ionekana wana furaha? Waropokeropoke kama akina Madeleka na Mwabukusi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…