Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Haha haha tunazingatia jinsiaNaomba ajira.mkuu niwe nawachora na mimi...mshahara hata usiponipa sawa tu
Ndio mkuu nipo kwa ajili kuwa rembaWe unachora magoma tu Gameti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tupo Dar kama upo Tarime tunakufata tukuchoreMko Dar au Tarime?
Yes tunaitoa kama ilivyo mkuu we njoo uchague zipo KibaoTattoo za bongo huwa sizikubalii sana.
Maana sijaona anae chora tattoo kwelii
Kitu kama hii ndo inafaa kwa sasa
View attachment 1146185
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nahitaji ajira mkuu
Haha haha iyo nafasi ina mtu tayari ipo nafasi ya kuwa kunjia nguo zao baada ya kuvuaKabla ya kuchora lazima uwanyoe mimi nipe kazi ya kuwanyoa ata buuure nipo tayari
Wanaume tuangalieni kabla hatuja Comment bwanaNyie mwenzenu yupo serious
Ila hii kazi ina ngumu sana haina tofauti na ile ya Mganga
Anamchanja chale mwanàmke sehemu nyeti kisha maumivu