Ninachora tattoo za aina zote kwa wanawake tu

Ivi kabisa mke wa mtu au mchumba unaenda kuchora huo uchafu watake radhi wanawake na ubadili tangazo liwe special kwa makahaba km dada wa taifa na wenziwe mtu mwenye timamu zake awez kufanya huo uchafu kwenye mwili wake maana thamani ya mwili ni kubwa mno.
 
Mkuu una pic yoyote ya tatoo kwenye kinena!!!?niwaletee wateja!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…