Aisee!! Tiba sasaItakuwa ni ukosefu wa vitamin fln tu
vipi unapata maumivu kwenye hilo eneo linalo chubuka?Wakuu, nimekuwa na tatizo la kuchubuka ulimi, hasa sehemu ya mbele ya ulimi.
Nimeenda hospitali mara zaidi ya tatu, na nimekuwa nikipewa vidonge vya vitamini (sina uhakika ni vitamini A, B au C).
Nikitumia dawa hizo, michubuko huisha na baada ya siku kadhaa huanza tena.
Nisaidiane, nini chanzo cha tatizo hili? Na nini tiba yake ya kudumu?
Maumivu yapo kwa mbaalii sana. Ila muda mwingi inakuwa kama kuna ganzi flani hivivipi unapata maumivu kwenye hilo eneo linalo chubuka?
Asante sana rafiki. Niulizie kwa huyo ndugu, dawa gani alitumia!??Nadhani ni reaction ya chakula au kinywaj fulani unachotumia....jaribu kutazama ni unapokula au kunywa kitu gani ndio hayo yanatokea......Hiyo hali sio fangas .....
kuna watu wanaathirika namna hiyo wakila vyakula vyenye viungo kama vile vinavyowekwa kwenye pilau, chakula cha moto sana, au kinywaji aina fulani kama pombe, au pombe kali, au uvutaji kama vile sigara......
chunguza, jaribu kukumbuka kwanza kuna kitu hakiendani na ulimi wako... unaweza kugundua sio ugonjwa na hivyo huna haja ya tiba ya kudumu....
Ulimi pia hua unapata fungus, cancer, bacteria infections etc, ila sio huo wako mkuu.....nina ndugu hua ana hali hiyo ila yeye alikua hapati maumivu na ulimi unabanduka hasa hizo area nyeupe mpaka leo
hatumii dawa vinakuja na kupotea nayeye ni reaction ya chakula....wewe chunguza kuna kitu hakiendani na ulimi wako ukiache au uone vya kawaida tu ...ila sio kwamba unaumwa....huyo ndugu yangu ulimi wake unabanduka sana mara tatu ya wakwako...Asante sana rafiki. Niulizie kwa huyo ndugu, dawa gani alitumia!??
Hakuna dawa ya mswaki, dawa ni ya meno,full stop.mkuu unatumuamia dawa gan ya mswaki??
exactly...pia chakula cha moto sana..Nina tatizo kama hilo ila ulimi wangu huungua kila ninapokula chakula cha moto na kutengeneza mabaka kwa kadiri ulivyoungua lakini hupona hataka na huisha na kurudi kila ninapokula chakula/kitu cha moto.
Pakaa Asali na uwe unakula Vidonge vya Multi vitamin itaondoka hiyo Michubuko yako.@KAUMZAWakuu, nimekuwa na tatizo la kuchubuka ulimi, hasa sehemu ya mbele ya ulimi.
Nimeenda hospitali mara zaidi ya tatu, na nimekuwa nikipewa vidonge vya vitamini (sina uhakika ni vitamini A, B au C).
Nikitumia dawa hizo, michubuko huisha na baada ya siku kadhaa huanza tena.
Nisaidiane, nini chanzo cha tatizo hili? Na nini tiba yake ya kudumu?