Ninadhani wanasheria wa CHADEMA wameishauri vibaya Kamati Kuu

Ukitaka kujua kama Tanzania kuna upinzani dhaifu au imara basi:
*Polisi wajitenge na ccm.
*Kuwe na tume huru ya uchaguzi.
*Demokrasia iwe huru nchini.

Hapo sasa ndiyo unaweza kusema upinzani ni dhaifu au sio dhaifu.
Upinzani imara usingechukua mtu wa hovyo toka CCM kama Lowasa kumpa ugombea urais. Kile kilikuwa kipimo tosha cha udhaifu wa upinzani uchwara huu.
 
Hivi mnafahamu kuwa hata mkoloni aliondoka hii nchi pamoja na kuwa na maguvu yote?
 
Hoja yako ni dhaifu mno. Utawala wa awamu hii umeua mihimili yote na kubakiza muhimili mmoja tu wa Serikali. Ulitaka wakakate rufaa wapi? Kwa sasa Rais ndiye Rais, Rais ndiye Jaji Mkuu, Rais ndiye Spika, Rais ndiye CAG - chanzo cha yote ni Rais. Watendaji hao wote wanafanya huo upumbavu au kutii maelekezo ya Rais au kutaka kumfurahisha Rais kwa sababu wanajua kuwa Rais anapenda wafanye hivyo.

Walichofanya upinzani, ni hatua nzuri ya mwanzo. Na baada ya hapa zifuate hatua nyingine. Nchi hii ni ya Watanzania wote. Wote tuna haki sawa. Matakwa yetu sisi sote yanatakiwa kufungwa na katiba na sheria, na siyo matakwa ya Rais.
 
NDANI YA CCM WEWE UPO KUNDI LA WANYWA GONGO AU WAVUTA BANGI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…