Ninafikiria kuanzisha biashara ya kucheza mchezo wa Paintball Guns

kunena

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2016
Posts
506
Reaction score
719
Wadau kwema?
Ninafikiria kuanzisha biashara ya kucheza mchezo wa Paintball Guns, naomba kufahamishwa wapi naweza kuzinunua
pamoja na utaratibu wa kuzimiliki. Asante

Mi bora niede somalia nikachezee ak47 sio ivo vitoy
 
Wadau kwema?
Ninafikiria kuanzisha biashara ya kucheza mchezo wa Paintball Guns, naomba kufahamishwa wapi naweza kuzinunua
pamoja na utaratibu wa kuzimiliki. Asante

View attachment 2727949
Pale Moshi karibu na KCMC kuna chimbo kama sikosei linaitwa Amuz Bar & Grill, huwa inachezwa sana pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…