Ninaflash na kutoa sim lock kwa bei rahisi sana,mfano iphone zote unlocking kwa njia ya software ni elfu 30 tu....official ama kwa kutumia imei itategemea na carrier aliyeilock simu yako,huawei za tigo na vodafone ni elfu 10 tu na nyinginezo nyingi. Karibu nikuhudumie na kwa maswali yoyote shuka hapa au nitafute kwa 0763969066. Kila meseji itajibiwa .
oh sorry mkuu lini ilikuwa kwenye modem..........sasa waweza kupigaSaizi ni kama nusu saa napiga simu yako iko bussy sasa tukueleweje?
nataka ku unlock smile router unaweza?
'hii pia ni simu eeh...........sie wa kayumba academy hatujui hivi vitu ni bora tukauliza mkuu...?'
ni brand gani??nataka ku unlock smile router unaweza?
iPad ndugu unaweza
iPad 2 inatumia laini moja ya vodaipad gan na ina shida gan ndugu
Ninaflash na kutoa sim lock kwa bei rahisi sana,mfano iphone zote unlocking kwa njia ya software ni elfu 30 tu....official ama kwa kutumia imei itategemea na carrier aliyeilock simu yako,huawei za tigo na vodafone ni elfu 10 tu na nyinginezo nyingi. Karibu nikuhudumie na kwa maswali yoyote shuka hapa au nitafute kwa 0763969066. Kila meseji itajibiwa .
iPad 2 inatumia laini moja ya voda
Umesomeka mkuu.Mimi nina airtel wireless ya mezani.Vipi unaweza kuifanyia hayo manjonjo kwa sh ngapi?
unaweza kuchakachua modem za kisasa za tigo, zantel na vodacom? bei gan if possible?
hiyo nitakutolea kwa elfu 10 nduguNina sumsung omnia 7 nimeitumia muda mwingi sasa simesahau unlock yaan pasword utanisaidia kwa sh ngap?
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
ninapatikana kigamboni ama posta dar es salaamUko maeneo gani?
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums