Ninafuga, Ninachinja na Kuuza Nguruwe

Ninafuga, Ninachinja na Kuuza Nguruwe

Tipperhendrix

New Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
1
Reaction score
6
Habari. Nauza Nguruwe.
Madume yaliyo hasiwa Yapo.
Madume ya Mbegu Yapo.
Na Majike ya Mbegu Yapo.

Ukihitaji Nyama.
Kilo 1 ni Tshs 8,000/=

Kama unataka Nguruwe, au Kula Nyama ya Nguruwe.

Piga simu au tuma Message kupitia namba +255738141339 au +255714313711

Kama upo WhatsApp, tumia namba hii +255753708485


Group la WhatsApp la Wateja hili hapa Nsanya's Pork Park 🪂

Nipo Manzese, Mabwe Pande
Bunju B. Dar es Salaam

Instagram pia 👉🏿 Natumia jina @nyamayanguruwe
Na @dalaliwamagariused

Karibu Sana.
IMG_20200313_092254.jpg
IMG_20200313_092951.jpg
IMG_20200309_132958.jpg
 
Ngoja niwaagizie kitimoto nyumbani maana vijana nimewaweka karatini inabidi wakitoka wawe wamejenga mashavu
 
Kama umesajiliwa naomba unatumia copy ya certificate of registration na capacity ya kusupy Nyama kwa siku
 
Vp hapo kwako kinapatikana hata cha kupika tayri kuliwa?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Habari. Nauza Nguruwe.
Madume yaliyo hasiwa Yapo.
Madume ya Mbegu Yapo.
Na Majike ya Mbegu Yapo.

Ukihitaji Nyama.
Kilo 1 ni Tshs 8,000/=

Kama unataka Nguruwe, au Kula Nyama ya Nguruwe.

Piga simu au tuma Message kupitia namba +255738141339 au +255714313711

Kama upo WhatsApp, tumia namba hii +255753708485


Group la WhatsApp la Wateja hili hapa Nsanya's Pork Park 🪂

Nipo Manzese, Mabwe Pande
Bunju B. Dar es Salaam

Instagram pia 👉🏿 Natumia jina @nyamayanguruwe
Na @dalaliwamagariused

Karibu Sana.
Mkuu unafanya biashara haramu sana

Kumbukumbu la torati 14:3 Usile kitu cho chote kichukizacho.
4 Wanyama mtakaokula ni hawa ng'ombe, na kondoo, na mbuzi,
5 kulungu, na paa, na kongoni, na mbuzi wa mwitu, na paa mweupe, na pofu, na mbuzi wa mlima;
6 na kila mnyama aliyepasuliwa ukwato, ukapasuka ukwato wake zikawa mbili, naye ni mnyama mwenye kucheua akatafuna tena, katika wanyama wote, ndiye mnyama mtakayemla.
7 Lakini, hawa msile katika wale wenye kucheua, na hao waliopasuliwa ukwato; ngamia, na sungura, na kwang'a, kwa kuwa hucheua, lakini hawakupasuliwa kwato, ni najisi kwenu;
8 na nguruwe, kwa kuwa amepasuliwa ukwato lakini hacheui, huyu ni najisi kwenu msile nyama zao, wala mizoga yao msiiguse.
9 Mtakula hawa katika wote walio majini; kila kilicho na mapezi na magamba mtakula;
10 na kila kisichokuwa na mapezi na magamba msile; ni najisi kwenu.
11 Mna ruhusa kula katika nyuni wote walio safi.
12 Lakini hawa msiwale; tai, na furukombe, na kipungu;
13 na kengewa, na kozi, na mwewe kwa aina zake;
14 na kila kunguru kwa aina zake;
15 na mbuni, na kirukanjia, na dudumizi, na kipanga kwa aina zake;
16 na bundi, na mumbi, na bundi mkubwa;
17 na mwari, na nderi, na mnandi;
18 na membe, na koikoi, kwa aina zake; na hudihudi, na popo.
19 Na wadudu wote watambaao wenye mabawa ni
 
Kama umesajiliwa naomba unatumia copy ya certificate of registration na capacity ya kusupy Nyama kwa siku
Mkuu nahitaji maarifa kwenye hili suala la kusajili shamba na manufaa yake; kama unasoko la uhakika tuyajenge

God save us
 
Back
Top Bottom