Habari. Nauza Nguruwe.
Madume yaliyo hasiwa Yapo.
Madume ya Mbegu Yapo.
Na Majike ya Mbegu Yapo.
Ukihitaji Nyama.
Kilo 1 ni Tshs 8,000/=
Kama unataka Nguruwe, au Kula Nyama ya Nguruwe.
Piga simu au tuma Message kupitia namba +255738141339 au +255714313711
Kama upo WhatsApp, tumia namba hii +255753708485
Group la WhatsApp la Wateja hili hapa
Nsanya's Pork Park πͺ
Nipo Manzese, Mabwe Pande
Bunju B. Dar es Salaam
Instagram pia ππΏ Natumia jina @nyamayanguruwe
Na @dalaliwamagariused
Karibu Sana.
Mkuu unafanya biashara haramu sana
Kumbukumbu la torati 14:3 Usile kitu cho chote kichukizacho.
4 Wanyama mtakaokula ni hawa ng'ombe, na kondoo, na mbuzi,
5 kulungu, na paa, na kongoni, na mbuzi wa mwitu, na paa mweupe, na pofu, na mbuzi wa mlima;
6 na kila mnyama aliyepasuliwa ukwato, ukapasuka ukwato wake zikawa mbili, naye ni mnyama mwenye kucheua akatafuna tena, katika wanyama wote, ndiye mnyama mtakayemla.
7 Lakini, hawa msile katika wale wenye kucheua, na hao waliopasuliwa ukwato; ngamia, na sungura, na kwang'a, kwa kuwa hucheua, lakini hawakupasuliwa kwato, ni najisi kwenu;
8 na nguruwe, kwa kuwa amepasuliwa ukwato lakini hacheui, huyu ni najisi kwenu msile nyama zao, wala mizoga yao msiiguse.
9 Mtakula hawa katika wote walio majini; kila kilicho na mapezi na magamba mtakula;
10 na kila kisichokuwa na mapezi na magamba msile; ni najisi kwenu.
11 Mna ruhusa kula katika nyuni wote walio safi.
12 Lakini hawa msiwale; tai, na furukombe, na kipungu;
13 na kengewa, na kozi, na mwewe kwa aina zake;
14 na kila kunguru kwa aina zake;
15 na mbuni, na kirukanjia, na dudumizi, na kipanga kwa aina zake;
16 na bundi, na mumbi, na bundi mkubwa;
17 na mwari, na nderi, na mnandi;
18 na membe, na koikoi, kwa aina zake; na hudihudi, na popo.
19 Na wadudu wote watambaao wenye mabawa ni