Ndugu zangu nawashukuru sana kwa ushauli mlionipa jana, Pia namshukuru Mungu kwa kunitoa hofu siku ya jana jioni!. jana jioni wekundu wa msimbazi waliingia uwanjani. nilihofu kwakuwa zilipita siku kadhaa bila kuwaona kitu ambacho siyo kawaida yangu. Hii inatokana na mimi kutumia kalenda kupanga uzazi nikahisi huenda nimekosea kumbe ratiba tu ndiyoiliyobadilika! asanteni sana!.