Ninahitaji Choroko, kilo kwa Tshs 1400 Dar

Ninahitaji Choroko, kilo kwa Tshs 1400 Dar

Uwesu Habibu

New Member
Joined
Sep 23, 2015
Posts
2
Reaction score
2
Hello wapendwa peleni na majukumu, kwa sasa nipo Dar nina shida na mzigo wa choroko kilo ninanunua 1400. Ninahitaji mzigo mwingi hata Tani 500 kama kuna MTU ana mzigo tuwasiliane.
 
Ngoja niingie chimbo langu wanalimaga huko tunaweza kufanya biashara.
 
Ninazo tani 500, nipo Singida, ila kwa bei hiyo mpaka utakapo kuja kuuchukua mzigo itakua sawaa !
 
Naona kuna fursa hapa,

Huku Moshi rejareja tunauziwa kilo kati ya 2,800 - 3,000
 
Anayeulizia 'New Member'

Mwenye nazo 'New Member'

Mwenye nazo 'Member'

Senior member & Expert member tujikite kwenye kilimo.
Kilimo na Mauzo / Biashara Mazao ni Sawa ?

Huenda huyo mdau anayeuliza na wale walionaza hakuna hata mmoja anajua hata udongo unafafanaje...

Moral of the story (ukitaka raha jikite kwenye masoko) ingawa ni muendelezo wa kumyonya mkulima
 
Back
Top Bottom