ninahitaji DSTV

VAMPA

Member
Joined
Dec 19, 2011
Posts
61
Reaction score
4
niko ubungo, naomba wakuu mnielekeze ni wapi ninaweza kupata kifaa hicho kwa bei nzuri na kiwe imara na halisi. 0754242210:
 
Cheap is expensive, sijawahi kusikia dstv ya bei nzuri, nenda ofisini kwao pale mbuyuni au ni-pm nikupe namba ya simu ya agent wao
 
Huwezi ukawa serious kuwa hujui agents wa dstv na wala ofisi zao huzijui....duu hayaa na unakaa hapo tu ubungo kuna access zoote na mawakala wamejaa kibao!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…