Ninahitaji grill za show ya bumper ya mbele kwa ajili ya vw touareg

Ninahitaji grill za show ya bumper ya mbele kwa ajili ya vw touareg

Dengue

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
2,047
Reaction score
1,465
Wadau ninahitaji grill za show ya bumper ya mbele kwa ajili ya vw touareg ya 2006 pamoja na ya taa ya fog. Zote ziwe za upande wa kulia.
IMG_0341.jpg
hii kwa ajili ya fog light
IMG_0342.jpg
hii kwa ajili ya show.

Napatikana Dsm.
 
Wadau ninahitaji grill za show ya bumper ya mbele kwa ajili ya vw touareg ya 2006 pamoja na ya taa ya fog. Zote ziwe za upande wa kulia.View attachment 578142hii kwa ajili ya fog lightView attachment 578143hii kwa ajili ya show.

Napatikana Dsm.
Ngoja wajuz waje. Lakini jaribu online kwa kutumia Alibaba au Amazon. Naamini itakua cheap kama ukiagiza mwenyewe.
Lakini pia kampuni zinazouza used cars nao huuza vipuri na mfumo ni ule ule kama unavyoagiza gari yaani FOB na CIF Costs.
 
Sijawahi agizia mtandaoni, jee inaweza ikachukua muda gani hadi kufika Tanzania?
 
Back
Top Bottom