Saimon Philip
Member
- Feb 23, 2012
- 55
- 17
Nafikiria hiyo ilikuwa njia ya haraka zaidi ila isipofaa nita uza mkuuKwa nini unataka ubadilishe? Kwa nini usiuze ununue unachotaka?
Service ya "kumwaga mafuta" ndo ikoje!!?MMMhh unakuja kulia, harrier unyosema inakunywa mafuta kama jini. Lakini pia kuna kaugojwa sugu kwenye hayo magari. RAV 4 nimekaa kama hiyo nimekaa nayo 3 years service kubwa ni kumwaga mafuta tu hakuna acha spanner wala makorokocho ya ufundi.
Think twice men!
MMMhh unakuja kulia, harrier unyosema inakunywa mafuta kama jini. Lakini pia kuna kaugojwa sugu kwenye hayo magari. RAV 4 nimekaa kama hiyo nimekaa nayo 3 years service kubwa ni kumwaga mafuta tu hakuna acha spanner wala makorokocho ya ufundi.
Think twice men!