KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 277
Picha?
Sijakuelewa unamaanisha nini?Au wewe ni mmoja ya "wasiojulikana" umekuja kivingine?
Mimi nahitaji taa hizi za LED za kufunga kwenye kigari changu aina ya suzuki samurai zina vibalbu vingi unaondoa hizi taa za kawaida zilizozoeleka na kufunga hizo
Ok asante kwa mchango wakoZinaitwa kiburudisho lights
Mkuu basi weka link ya web