B baptist JF-Expert Member Joined Sep 26, 2013 Posts 434 Reaction score 275 Mar 1, 2016 #1 Mwenye ujuzi na biashara hii tafadhali, nina kiwanja kikubwa, kuna umeme na maji na mtaji pia upo nahitaji mawazo yenu tafadhali..
Mwenye ujuzi na biashara hii tafadhali, nina kiwanja kikubwa, kuna umeme na maji na mtaji pia upo nahitaji mawazo yenu tafadhali..
Elungata JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 40,205 Reaction score 33,287 Mar 1, 2016 #2 Kwanini usijiingize katika biashara ya real estate then kama mtaji upo na unajua mambo ya ujenzi?
Shafi_Abeid Senior Member Joined Nov 14, 2014 Posts 188 Reaction score 107 Mar 1, 2016 #3 Sikilizeni hiki kipindi kilichorushwa hewani na Channel 10 na Rifaro Africa Ltd kuelezea biashara yao ya mda wa maongezi na jinsi ambavyo unaweza kutengeneza mamilioni ya pesa kila mwezi kwa mtaji mdogo tu wa TZS 128,500 Kwa nini utumie mda wako wa maongezi kihasara hasara?
Sikilizeni hiki kipindi kilichorushwa hewani na Channel 10 na Rifaro Africa Ltd kuelezea biashara yao ya mda wa maongezi na jinsi ambavyo unaweza kutengeneza mamilioni ya pesa kila mwezi kwa mtaji mdogo tu wa TZS 128,500 Kwa nini utumie mda wako wa maongezi kihasara hasara?
F Family_hammer Member Joined Jan 2, 2016 Posts 29 Reaction score 11 Mar 2, 2016 #4 Kama kiwanja chako kipo eneo ambao ujenzi unafanyika, ni biashara nzuri. baptist said: Mwenye ujuzi na biashara hii tafadhali, nina kiwanja kikubwa, kuna umeme na maji na mtaji pia upo nahitaji mawazo yenu tafadhali.. Click to expand...
Kama kiwanja chako kipo eneo ambao ujenzi unafanyika, ni biashara nzuri. baptist said: Mwenye ujuzi na biashara hii tafadhali, nina kiwanja kikubwa, kuna umeme na maji na mtaji pia upo nahitaji mawazo yenu tafadhali.. Click to expand...