Ninahitaji kufungua duka la dawa muhimu

Ninahitaji kufungua duka la dawa muhimu

Lemidmckon

Member
Joined
May 14, 2019
Posts
19
Reaction score
21
Habari

Naomba kujua wapi naweza kupata/kusoma kozi ya kuuza duka la dawa muhimu (addo) kwa dar es salaam, gharama za kozi na inachukua mda gani?
 
Haya mafunzo ya maduka ya dawa muhimu yalisimamishwa. Hivyo ukitaka kufungua uwasiliane na mfamasia wako wa wilaya, atakupa maelezo yote.
 
Back
Top Bottom