L Lemidmckon Member Joined May 14, 2019 Posts 19 Reaction score 21 Jul 30, 2024 #1 Habari Naomba kujua wapi naweza kupata/kusoma kozi ya kuuza duka la dawa muhimu (addo) kwa dar es salaam, gharama za kozi na inachukua mda gani?
Habari Naomba kujua wapi naweza kupata/kusoma kozi ya kuuza duka la dawa muhimu (addo) kwa dar es salaam, gharama za kozi na inachukua mda gani?
mwambojoke JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 1,084 Reaction score 647 Jan 2, 2025 #2 ulipata majibu?
M missongika JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 341 Reaction score 409 Jan 2, 2025 #3 Haya mafunzo ya maduka ya dawa muhimu yalisimamishwa. Hivyo ukitaka kufungua uwasiliane na mfamasia wako wa wilaya, atakupa maelezo yote.
Haya mafunzo ya maduka ya dawa muhimu yalisimamishwa. Hivyo ukitaka kufungua uwasiliane na mfamasia wako wa wilaya, atakupa maelezo yote.