Ninahitaji kujifunza skimming na rangi

Ninahitaji kujifunza skimming na rangi

Nasibuhamisi

Member
Joined
Aug 26, 2023
Posts
14
Reaction score
19
Habari za mda huu wanajamii,

Nimerudi tena kwenu shida yangu ni sehemu gani sahihi kwa sasa naweza nikajifunza masuala ya skimming na mambo ya kupaka rangi kwa hapa Dar au kama kuna fundi yeyote atakae amua kunishika mkono juu ya hili ili na mm hapo mbeleni fani hii iweze kunisaidia katika maisha.
 
Mimi ni fundi wa rangi na skimming. Ninaweza kuskim kwa ktumia materials ya aina yeyote ila toka nifike Dar sijapata kazi. Ukiweza kupata kazi huko ulipo nicheki tutaelekezana na utakuwa m noma
 
Habari za mda huu wanajamii,

Nimerudi tena kwenu shida yangu ni sehemu gani sahihi kwa sasa naweza nikajifunza masuala ya skimming na mambo ya kupaka rangi kwa hapa Dar au Kama Kuna fundi yeyote atakae amua kunishika mkono juu ya hili ili na mm hapo mbeleni fani hii iweze kunisaidia katika maisha.
Kwa hapa dar unaishi wap nasibu
 
Back
Top Bottom