Habari wadau. Nina kuku wa kienyeji 30 sasa naomba kujua ni kuku wa aina gani ambao ni mahususi kwa nyama yenye quality ambayo ni mbegu kubwa, tamu,laini na isiyo na kamba ili niweze kumix na hawa kuku wangu wa kienyeji kupata product nzuri nayoweza uza hata kwenye hoteli za kitalii.
Maana kuku wetu original wa kienyeji ni wadogo na wagumu sana,so mahoteli makubwa hawafagilii japo wanajua ni healthier.
Ushauri wa wadau nitashukuru na niko tayari kufwata kokote bongo.
Kama huna ushauri basi nisaidie ku tag wadau kama kina Kubota chasha poultry na wengine wengi.

Last edited by a moderator: