M Man tofa Member Joined Oct 7, 2014 Posts 60 Reaction score 8 Mar 19, 2015 #1 ninahtaji niwe wakala wa benk ya nbc lushoto je taratibu za kuwa wakara na sifa ni zipi naomba ufafanuz kwa anayefahamu
ninahtaji niwe wakala wa benk ya nbc lushoto je taratibu za kuwa wakara na sifa ni zipi naomba ufafanuz kwa anayefahamu
teetotaller JF-Expert Member Joined Dec 16, 2014 Posts 307 Reaction score 204 Mar 19, 2015 #2 nenda pale pale nbc bank utapata maelekezo mazuri...