ninahitaji laptop hp kwa 300,000 msaada anayejua

Nahitaji laptop hp wap ntapata wadau...

Uko wapi kama uko Dar nakupa namba ya mtu mmoja aliniuzia laptop safi sana sasa ina miaka miwili aijawahi kualibika ni hp yuko kinondoni
 
Uko wapi kama uko Dar nakupa namba ya mtu mmoja aliniuzia laptop safi sana sasa ina miaka miwili aijawahi kualibika ni hp yuko kinondoni

mkuu dondosha namba yake na useme yupo kino ipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…