Ninahitaji Line ya Tigo Pesa

Ninahitaji Line ya Tigo Pesa

Spear_

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
1,615
Reaction score
545
Wadau Heshima Mbele.....

Nina shida ya Line ya TIgo Pesa, nimeenda ofisini kwao wanadai hawatoi tena, najua kuna watu wenye nazo na hawafanyii kazi, naomba tuwasiliana kama unaweza kunisaidia,

Asante
 
Back
Top Bottom