Habar zenu wadau wapi nitapata izo mbegu au miche ya mchongoma kwa ajili ya kupanda kwenye kiwanja changu nataka niweke fance ya mti iyo iweka kama bustani kiwanja kimeshaanza msingi nataka ata nikihamia iwe tayar iyo bustan imeshakuwa kubwa. Mnisamehe kwa uwandishi mbovu sio mzur san wa kuandika