Asante. Japo kwangu hailipi. Ninataka awe Dar.Cheki na Dida Vitenge yuko Mwanza, ni mtaalam haswa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ndiyo maana ninahitaji dizaina. Mtu mwenye shepu ya utata anahitaji dizaina. Maana mnashona na fundi kwa pamoja. Dizaina anakutazama na kujua mapigo yako.Aiseee niliacha kuvaa vitenge ila kuna fundi amenitolea nguo zangu na baba Watoto Zipo mahali pake
N:b mwili unaruhusu kushona unachotaka kushona?
Nitafute ndugu, kwa nguo zote za kiume, suits, kaunda, khadet na mashati pia suits za kike. Hutajuta kutufahamu. KaribuKwa wajuvi wa kuulamba jijini Dar es Salaam
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ninahitaji mtaalamu wa kubuni na kushona nguo za kike na kiume. Awe mkali katika suti na mavazi mengine ya me na ke. Si lazima awe huyohuyo. Mmoja anaweza kuwa mtaalamu wa nguo za kike na mwingine za kiume au vyote.
Ninahitaji mtaalamu hasa tafadhali, awe na vitambaa vikali, the nimechoka kushonewa nguo kama viroba na kununua midosho ya dukani.
Shukrani