mchumiajuani
Member
- Feb 19, 2011
- 7
- 0
NINAHITAJI MCHUMBA WA KIKE SICHAGUI DINI WALA KABILA,AWEMREFU WA WASTANI AWE ANAJUA KUSOMA NA KUANDIKA,MCHAMOLA MWENYEMAPENZI YA DHATI,AWE ANAAJIRA AU AMEJIARIRI,AWE ANAJITUMA NA MUADILIFU,MSAFI ANAYEJIPENDA, UMRI WAKE KUANZIA 18-30
MIMI NI MFANYAKAZI KTK KAMPUNI FLANI NAJITEGEMEA, UMRI WANGU NI MIAKA 28 KIPATO CHANGU NI CHA KAWAIDA NI MSKRISTO SAFI NAJITEGEMEA,MCHAPAKAZI,MAMBO MENGINE YATAFUATA MARA BAADA YA MWASILIANO KWA MAWASILIANO NI
chibobo2011@yahoo.com
Mimi sio mdini lakini huwa nikiona mtu anatafuta mchumba/mke halafu anasema dini yoyote???? Mi sijui namchukulia je?? Manake Imani kwa Mungu, jinsi ya kuabudu, na utamaduni wa kidini kwangu mimi ni moja ya mambo yakuangalia kwa mtu ninayefikiria anaweza kuwa mke/mume.
Ni mawazo yangu tu!! Yawezekana nikielimika zaidi naweza kubadilika, lakini nahisi nina kamsimamo fulani juu ya hilo.
Na mwaka huu lazima mchumba apatikane....................
Ld mi nafikiri kwenye imani hapo watakubaliana nani amfate mwenzie au kama vipi kila mtu abaki na imani yake.
Mnaweza wote mkawa imani moja na msifanye yoyote ya kumpendeza mungu na inawezekana pia kila mtu na imani yake na mkaishi vizuri.
Ni kweli Husninyo inawezekana hivo, lakini mi najaribu kufikiria pia utamaduni na namna ya kuabudu!! Mfano binti anayesali kanisa la Petekoste au kanisa lolote lakini ameokoka anampenda Yesu, anafuata mafundisho ya biblia kweli kweli, anaomba na kufunga kwa muda mrefu, anaamka usiku wa manane anaombea mambo mbalimbali pamoja na kukemea mapepo akiwa nyumbani kwake, halafu anaolewa na Muislam tuseme. Halafu kila mtu anabaki na Imani yake. Hivi wataweza kwenda sawa na tamaduni zao hizo? Mkaka Muislamu amelala usiku anasikia mke wake anafanya maombi chumbani au sebuleni. Kila roho iliyokinyume na Mungu ishindwe katika jina la Yesu!! Na upako wa maombi unashuka kabisa ananena hadi kwa lugha!!!!
Hebu nipe elimu juu ya hili inawezekana??
Mimi sio mdini lakini huwa nikiona mtu anatafuta mchumba/mke halafu anasema dini yoyote???? Mi sijui namchukulia je?? Manake Imani kwa Mungu, jinsi ya kuabudu, na utamaduni wa kidini kwangu mimi ni moja ya mambo yakuangalia kwa mtu ninayefikiria anaweza kuwa mke/mume.
Ni mawazo yangu tu!! Yawezekana nikielimika zaidi naweza kubadilika, lakini nahisi nina kamsimamo fulani juu ya hilo.
Ukweli ndio huo, lakini kuna na nguvu au vishawishi vya nje, toka kwa familia au marafiki. Mnaweza kuyafumbia macho yote hayo kwani nyinyi ndio wahusika wakuu, bila ya kujali kama mtatengwa au la. Tatizo kubwa linakuja wakati mkiwa na watoto. Mkiwa watu wa busara mtawalea watoto wenu kwa maadili mema bila ya ushawishi wa dini zenu. Mnawawacha watoto wenu mpaka wanakuwa wakubwa (kisheria miaka 18) ili wachaguwe wenyewe kufuata dini wanayotaka. Lakini mara nyingi mmoja hutaka watoto wafuate dini yake na ndio hapo matatizo ya kweli huanza.Ld mi nafikiri kwenye imani hapo watakubaliana nani amfate mwenzie au kama vipi kila mtu abaki na imani yake.
Mnaweza wote mkawa imani moja na msifanye yoyote ya kumpendeza mungu na inawezekana pia kila mtu na imani yake na mkaishi vizuri.
ninahitaji mchumba wa kike sichagui dini wala kabila,awemrefu wa wastani awe anajua kusoma na kuandika,mchamola mwenyemapenzi ya dhati,awe anaajira au amejiariri,awe anajituma na muadilifu,msafi anayejipenda, umri wake kuanzia 18-30
mimi ni mfanyakazi ktk kampuni flani najitegemea, umri wangu ni miaka 28 kipato changu ni cha kawaida ni mskristo safi najitegemea,mchapakazi,mambo mengine yatafuata mara baada ya mwasiliano kwa mawasiliano ni
chibobo2011@yahoo.com
Mimi ninakila sifa ulizotaja hapo ila unanyumba yako mwenyewe? maana sipendi kukaa nyumba za kupanga usafiri je?