Ninahitaji mke

Fazzah5x

Senior Member
Joined
Aug 10, 2022
Posts
172
Reaction score
243
Habari za leo wana jf mimi ni kijana wa miaka 26 nimejitafuta kwa muda na kwa sasa nashukuru mungu niko tayari kwa ajili ya ndoa,na kifamilia na kimatunzo pia
hivyo basi naomba kufahamu kama kuna binti naweza pata humu kwa ajili tufanye maandalizi ya ndoa bila kupotezeana muda
SIFA ZA BINTI KWA UFUPI
1-awe mwaminifu
2-awe na heshima
3-awe mvumilivu
*kigezo cha ziada>ukiwa bikra itapendeza zaidi,kwa sababu hata mimi sijawahi kukutana na mwanamke kimwili
#nawasilisha.
 
😂😂😂😂Kheeeeeee
 
Kaka umejitunza vyema kama hujawahi kukutana na mwanamke kwa karne hii , asee wewe ni kiboko ,

Kingine hapa mtandaoni kumpata bikra ni kazi , asilimia kubwa wanaomiliki simu washaondolewa bikra zao muda sana .

Nakusihi utafute mtaani , naimani utapata , alafu uonje kwanza kwa sasa hivi wengi wao wameonjwa ambao ziko TAITEDI WALAU UWAFAIDI MPAKA UWAONJE.
 
Ive catched u mr
 
Kwahyo wewe bado bikira hongera kwakujitunza agemate ....ila suala la kuoa subl ufike MIAKA 30
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…