Ninahitaji Motherboard ya Dell Latitude ATG D630

mzeewadriver

Member
Joined
Jan 7, 2008
Posts
93
Reaction score
0
Waungwana ninahitaji motherboard ya Laptop, Dell Latitude ATG D630, kama kuna mtu anayo, au anafahamu zinapatikana wapi anijulishe, mpya au used zote zinakubalika.
 
Waungwana ninahitaji motherboard ya Laptop, Dell Latitude ATG D630, kama kuna mtu anayo, au anafahamu zinapatikana wapi anijulishe, mpya au used zote zinakubalika.

Pole sana mkuu but are you sure laptop hiyo motherboard nzima imekufa au kuna kifaa critical ndani ya motherboard ndo kina tatizo?

Unaweza kukuta ni tatizo la power IC inayotakikiwa kusambza umeme kwenye motherborad ndo imekufa.

Otherwise fanya survey online kama ebay ,Amazon ili uweze kufanya comparison kati ya bei ya kuagiza na kununua hapo ulipo sijui ni wapi?

Pia tembelea site ya dell south africa Dell homepage - Computers, notebook PCs, printers, servers, and more | Dell South Africa
 

Ahsante kwa ushauri mkuu, nimekupata. Nilishasoma hiyo site before, unachokisema inaweza ikawa ni kweli. Lakini nimeshajaribu kubadili moja kati ya power ic's lakini still tatizo liko pale pale, ilikuwa inawka power light na kuzima unapowasha lakini kwa sasa ndo kimya kabisa. nitajaribu kutembelea kwenye ebay nione gharama itakuwa vipi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…