Salam,hilo tatizo lina tiba na lishawahi kuzungumziwa sana hapa jamvini,kuna thread ipo na solution ya hii mambo
Unaweza pia kutumia njia ya kubana au kukaza tundu ya ****** kwa nguvu sana ukisikia zinakuja na zikisharudi unaendelea na zoezi,baada ya kufanya hivyo kwa muda wa mwezi au miezi miwili utaona unaanza kuchelewa.Habari zenu wadau wa jukwaa hili, nina hitaji ushauri kuusu tatizo ili ,mi kijana wa kiume ,umri wa aka 27 ,ni hivi huwa ninapokuwa nikifanya tendo la ndoa na wife,nakuwa najikuta ninawahi kufika kileleni haraka kuliko mwenzangu ,kitendo ambacho kinanisababishia mtafaruku ktk mahusiano yangu na mwenzangu,
Ninaomba kujua je, hili ni tatizo kwangu me?na kama ni
Tatizo linaweza kupatikana tiba yake.!! Ahsante